Kwa Pamoja Tunaweza _ Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma

Katika kujenga Umoja, ushirikiano  na kujengeana uwezo katika Masuala mbalimbali ya kiofisi na kijamii. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma iliamua kuja na utaratibu wa Chakula cha Pamoja kila jumatano ya mwisho wa mwezi. Katika Jumatano hiyo Taasisi mbalimbali hukaribishwa kuja kutoa mada na kuwaeleimisha wafanyakazi wa mkoa kuhusu masuala mbalimbali.Sanjari na hayo chakula hicho cha mchana hutumika kuwapongea wafanyakazi wote waliozaliwa katika mwezi husika . 

Katika Chakula cha mchana kilichofanyika 27/7/2022 Bpodi ya maziw ilikaribishwa kutoa mada na kuwahamasisha Watumishi kuhusu matumizi bora ya maziwa kuliko kimiminika kingine ,kwani kila binadamu anatakaiwa kunywa nagalau lita 200 mza maziwa kwa mwaka.

Mwisho

 

Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa waliozaliwa mwezi wa Julai wakifungua Champagne






Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Wa  Dodoma  waliozaliwa mwezi Julai Wakikata  keti kwa pamoja 














Watumishi wa Bodi ya Maziwa wakionyesha bidhaa zao





Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

TRAMPA KANDA YA KATI WAFANYA KIKAO DODOMA

BARAZA LA MITUME NA MANABII WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA