MHE.SENYAMULE ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA SHERIA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyumule ametembelea maonesho ya wiki ya sheria yalioanza tarehe 22/1 hadi 29/1 wadau walioshiriki kutoa Elimu kwenye maonesho hayo ni 35.
Akizungumza na wadau hao Senyamule amesema niwapongeze
kuimili wa mahakama kwa kazi nzuri
wanazoendelea kuzifanya ambazo kwa wiki ya sheria tumepata nafasi na wanachi kushuhudia mabadiliko
makubwa na mapinduzi mabukwa ambazo kwenye muimili wa sheria tunaon vitabu na
vipeperushi vikitafsiliwa kwa lugha ya Kiswahili.
“tumepata nafasi ya kushuhudia mabanda mengi yakitoa elimu
juu ya muimili wa mahaka na watu weng wanpnda suruhishi kama njia ya kwanza ya
kutoa matatizo kabla ya kutoa ukumu na
kama kauli mbiu inavosema ya Mahakam sasa tunaneda kutoa suruhishi.
Elimu zitolewe kwa kila mwanachi ili kwakila mtu ajue juu ya
sheria ya Mahakam na hitaongeza
juhudi juu ya kutoa haki na mapatano juu
ya kila tatizo mabalo mwananchi
hanapaswa kujua haki yake katika jamii”Amesema senyamule
Pia Mkuu wa Mkoa aliweza kutembelea Mbanda takribani 11
ambayo miongoni mwao yaliweza kuhudhuria kwenye maonesho ayo.
Comments
Post a Comment