Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule leo tarehe 16 Agosti 2023 amefanya kikao kazi na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wakuu wa Wilaya za Dodoma katika ukumbi wa Mkapa Jijini Dodoma

Pamoja na mambo mengine kikao hicho pia kimejadili mikakati ya kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya kimkakati na upatikanaji wa masoko katika Mkoa wa Dodoma.

Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

TRAMPA KANDA YA KATI WAFANYA KIKAO DODOMA

BARAZA LA MITUME NA MANABII WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA