WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akitoa maagizo kwa walimu (hawapo pichani) kuhusu kufundisha uzalendo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kusila Wilaya ya Bahi wakati alipofanya ziara ya kikazi kukagua miradi ya miundombinu inayoendelea kutekelezwa katika shule hiyo mnamo Januari 28, 2025. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (katikati) akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi Kusila Wilaya ya Bahi wakati alipofanya ziara ya kikazi kukagua miradi ya miundombinu inayoendelea kutekelezwa katika shule hiyo mnamo Januari 28, 2025. Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Dodoma pamojna na Wataalamu mbalimbali waliombatana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (hayupo pichani) wakifuatilia maagizo yaliyotolewa juu ya kufundishwa uzalendo wanafunzi wa shule ya Msingi Kusila Wilaya ya Bahi. Picha juu na chini, baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwitikira katika Wilaya ya Bahi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh...
Comments
Post a Comment