Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameshiriki uzinduzi wa wiki ya Sheria Nchini uliofanyika leo januari 27/01/2024 katika viwanja vya 'Nyerere square' Jijini Dodoma.

Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini yameanza tangu januari 24 na yanatarajiwa kutamatika ifikapo januari 30/2024 huku Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameshiriki uzinduzi wa wiki ya Sheria Nchini uliofanyika leo januari 27/01/2024 katika viwanja vya 'Nyerere square' Jijini Dodoma.

Maadhimisho ya wiki ya Sheria Nchini yameanza tangu januari 24 na yanatarajiwa kutamatika ifikapo januari 30/2024 huku kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Umuhimu wa Dhana ya haki kwa ustawi wa Taifa : Nafasi ya Mahakama na wadau katika kuboresha mfumo jumuishi wa Haki Jinai".

Mgeni rasmi aliyefanya uzinduzi katika maadhimisho hayo ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson.kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Umuhimu wa Dhana ya haki kwa ustawi wa Taifa : Nafasi ya Mahakama na wadau katika kuboresha mfumo jumuishi wa Haki Jinai".

Mgeni rasmi aliyefanya uzinduzi katika maadhimisho hayo ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson.

Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

‘WANAWAKE NA SAMIA’ 3000 MKOA WA DODOMA KUPATA MAFUNZO VETA