Wadau wa lishe Mkoa wa Dodoma leo Januari 29, 2024 wamefanya kikao cha  robo ya kwanza ya mwaka kikijadili hali ya upatikanaji wa chakula shuleni kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.


Kikao hicho kimekazia umuhimu wa chakula kwa wanafunzi ikiwa ni nguzo muhimu ya kuinua Taaluma ki Mkoa na muarobaini kwa changamoto za utoro shuleni hasa kipindi hiki ambacho Mkoa umeweka Mkakati wa kuinua taaluma.

Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

TRAMPA KANDA YA KATI WAFANYA KIKAO DODOMA

BARAZA LA MITUME NA MANABII WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA