NMB YADHAMINI UMITASHUMITA DODOMA.











Benki ya NMB kanda ya kati Leo Mei 31/2024 wamekabidhi tracksuit jozi 150 Kwa kaimu afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Bi. Sophia Mbeyu Kwa ajiri ya timu ya Mkoa ya wanafunzi watakaoshiriki  UMITASHUMITA ngazi ya Taifa yanayotarajiwa kuanza juni 5 na kutamatika juni 15 Mkoani Tabora. 

Makabidhiano hayo yamefanyika na Kaimu Meneja kanda ya kati Bw. Victor Dilunga katika viwanja vya Shule ya Dodoma Sekondari na kupokelewa na Kaimu afisa Elimu Mkoa Mwl. Sophia Mbeyu. 

Hatahivyo Benki hiyo wametoa vifaa hivyo ikiwa ni kurudisha Kwa jamii pamoja na kuwatangazia wanafunzi hao huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa elimu juu ya akaunti ya Chipukizi ya watoto walio na umri wa  miaka 14-17.



#NMBkaribuyako
#dodomafahariyawatanzia
#michezoniafya
#umitashumita2024

Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

TRAMPA KANDA YA KATI WAFANYA KIKAO DODOMA

BARAZA LA MITUME NA MANABII WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA