RAS MMUYA AMESHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw.Kaspar K.Mmuya ameshiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na uzinduzi wa Mifumo ya Kidigitali iliyosanifiwa na kujengwa na Ofisi ya Rais Utumishi leo tarehe 23 Juni,2024.
Kilele hicho kilifanyika kwenye viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.
#dodomafahariyawatanzania #keroyakowajibuwangu
Comments
Post a Comment