RC SENYAMULE AMESHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI HYA UTUMISHI WA UMMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, ametembelea baadhi ya Mabanda yaliyoshiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na uzinduzi wa Mifumo ya Kidigitali iliyosanifiwa na kujengwa na Ofisi ya Rais Utumishi leo tarehe 23 Juni,2024.
Kilele hicho kilifanyika kwenye viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma.
#dodomafahariyawatanzania
#keroyakowajibuwangu
Comments
Post a Comment