BARAZA LA MITUME NA MANABII WAMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA
Na Sofia Remmi
Habari-Dodoma Rs
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ametembelewa na ugeni kutoka Baraza la Mitume na Manabii wa Mkoa Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2024.
Lengo la ugeni huo ni kujitambulisha na kumjulisha juu ya mkutano mkubwa wa Kitaifa wenye lengo la Kuliombea Taifa utakaofanyika katika Mkoa wa Mwanza tarehe 11/11/2024.
#kurayakosautiyako
#dodomatupotayarikujiandikisha
#ujanjanikupigakura
#keroyakowajibuwangu
#dodomafahariyawatanzania
Comments
Post a Comment