WALIMU WA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya akizungumza na Walimu wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma juu ya kutekeleza wajibu wao wakati wa kikao kazi cha ufuatiliaji wa maendeleo ya Taaluma kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma Aprili 11, 2025. Afisa Elimu Mkoa wa Dodoma Mwalimu Vicent Kayombo akielezea namna ufuatiliaji wa Elimu unavyofanyika katika Mkoa wa Dodoma wakati wa kikao kazi cha ufuatiliaji wa maendeleo ya Taaluma kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma Aprili 11, 2025. Baadhi ya Maafisa Elimu wa Mkoa wa Dodoma wakifuatilia hotuba ya Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya (hayupo pichani), wakati wa kikao kazi cha ufuatiliaji wa maendeleo ya Taaluma kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma Aprili 11, 2025. Pichani ni baadhi ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari za Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakifuatilia hotuba ya Katibu Tawala...
Comments
Post a Comment