RC SENYAMULE ASHIRIKI UZINDUZI WA SOKO LA MWANAKWEREKWE ZANZIBAR
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameshiriki hafla ya uzinduzi wa Soko la Mwanakwerekwe lililopo katika Wilaya ya Magharib B” Visiwani Zanzibar tarehe 26 Oktoba, 2024.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo alikua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ally Mwinyi.
Comments
Post a Comment