DODOMA NA SHAMRASHAMRA ZA KUMBUKIZI YA SIKU YA KUZALIWA YA MHE RAIS .
Ikiwa ni muendelezo wa matukio ya kuenzi kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Dkt. Samia Suluhu Hassan,viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na Serikali wakiongozwa na Ndg. John Mongella,wamejumuika kumpongeza na kusheherekea.
Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Mikutano makao makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 27 Januari 2025.
Comments
Post a Comment