WATUMISHI WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MAZOEZINI









Na. Sizah Kangalawe Habari- Dodoma Rs. 

Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  Dodoma, Leo Ijumaa Januari 31, 2025 wamefanya mazoezi ya viungo vya mwili Ili kuimarisha Afya zao. 

Mazoezi hayo yalifanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Amani Jijini Dodoma, ikiwa ni muendelezo wa utaratibu waliojiwekea wa kufanya mazoezi kila siku ya Ijumaa ya Juma baada ya kumalizika saa za kazi na Kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. 

Dhamira ya Mazoezi hayo ni kuimarisha Afya, kuepuka magonjwa yasiyoambukiza pamoja na kuimarisha mahusiano na Mshikamano baina yao.








 

Comments

Popular posts from this blog

WALIMU WA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA WATAKIWA KUTIMIZA WAJIBU WAO

WALIMU WATAKIWA KUFUNDISHA UZALENDO SHULENI.

‘WANAWAKE NA SAMIA’ 3000 MKOA WA DODOMA KUPATA MAFUNZO VETA