MTI WANGU, BIRTHDAY YANGU FEBRUARI YAFANYIKA NZUGUNI
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya, akizungumza umuhimu wa kupanda miti wakati wa hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu kwa mwezi Februari iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Utunzaji Mazingira na Ufugaji wenye Tija Bw. Jeremia John Wambura ambaye ni moja ya mdau aliyealikwa kwenye hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu kwa mwezi Februari akizungumza kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Afisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye pia ni mzaliwa wa Februari Bi Grace Moshi akizungumza kwa niaba ya wazaliwa wote wakati wa hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu kwa mwezi Februari iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya, akipanda mti wakati wa hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu kwa mwezi Februari iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Pichani, wazaliwa wa mwezi Februari wakipanda miti kuadhimisha kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa wakati wa hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu kwa mwezi Februari iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Keki maalumu kwa ajili ya wazaliwa wa mwezi Februari waliosheherekea kumbukizi yao sambamba na kupanda miti kwenye hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Keki na shampeni maalumu kwa ajili ya wazaliwa wa mwezi Februari waliosheherekea kumbukizi yao sambamba na kupanda miti kwenye hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Wazaliwa wa mwezi Februari wakikata keki maalumu kusheherekea kumbukizi yao iliyokwenda sambamba na zoezi la upandaji miti wakati wa hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanyika kwenye viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya akimlisha keki mmoja wa wazaliwa wa mwezi Februari kwa niaba ya wengine wakati wa kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa iliyokwenda sanjari na hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanikisha kupandwa miti 350 katika eneo la viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Wazaliwa wa mwezi Februari wakilishana keki wakati wa kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa iliyokwenda sanjari na hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanikisha kupandwa miti 350 katika eneo la viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya (kushoto), akigonga 'cheers' na baadhi ya wazaliwa wa mwezi Februari wakati wakusheherekea kumbukizi ya siku zao za kuzaliwa iliyoambatana na hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanikisha kupandwa miti 350 katika eneo la viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Baadhi ya washiriki walioungana na wazaliwa wa mwezi Februari wakigonga 'cheers' wakati wakusheherekea kumbukizi ya siku za kuzaliwa iliyoambatana na hafla ya kampeni ya Mti wangu Birthday yangu iliyofanikisha kupandwa miti 350 katika eneo la viwanja wa Nanenanae, Nzuguni Jijini Dodoma Februari 18, 2025
Comments
Post a Comment