VIONGOZI KUTOKA TUME YA MADINI WAMTEMBELEA RAS MMUYA
Uongozi kutoka Tume ya Madini ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bi. Janeth Reuben Lekashingo wamemtembelea Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya ofisini kwake leo tarehe 28.05.2025.
Ugeni huo umefika ofisini hapo kwa lengo la kujitambulisha na kutoa taarifa ujio wa ziara yao ndani Mkoa huu.
Bw. Mmuya akipokea salamu hizo ametumia wasaa huo kuwa taarifu vipaumbele vya Mkoa huu ndani ya mwaka 2025 vikiwa ni pamoja na utalii, madini na Kilimo.
#dodomafahariyawatanzania
#wekezadodomastawishadodoma
#keroyakowajibuwangu
#mtiwangubirthdayyangu
Comments
Post a Comment