PICHANI
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya Leo Juni 11,2025 ameambana na Viongozi wengine wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa na Wilaya kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaetarajiwa kufanya ziara yake Juni 14 ,2025 kwa ajili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Jijini hapa.
#dodomafahariyawatanzania
#wekezadodomastawishadodoma
#keroyakowajibuwangu
#mtiwangubirthdayyangu







.jpeg)
Comments
Post a Comment