VITUO VYA ‘KILIMO ANGA’ NCHINI, KUPATA NDEGE MPYA ZA KUDHIBITI VISUMBUFU VYA MIMEA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe,akitoa maelekezo kwa watendaji wa Wizara yake kuhusu kufanyika mchakato wa ununuzi wa Ndege tatu za kudhibiti visumbufu vya mimea wakati wa hafla ya kupokea ndege moja iliyonunuliwa kwa lengo hilo leo Mei 30, 2025 kwenye Kiwanja kidogo cha Ndege Jijini Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiishukuru Wizara kwa ununuzi wa ndege ya kudhibiti visumbufu vya mimea wakati wa hafla ya kupokea ndege moja iliyonunuliwa kwa lengo hilo leo Mei 30, 2025 kwenye Kiwanja kidogo cha Ndege Jijini Dodoma. Waziri wa Kilimo Mhe. Bashe akikagua ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali kwa lengo la kudhibiti visumbufu vya mimea wakati wa hafla ya kupokea ndege hiyo iliyofanyika leo Mei 30, 2025 kwenye Kiwanja kidogo cha Ndege Jijini Dodoma. Viongozi wa dini na baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla ya kupokea ndege moja iliyonunuliwa kwa lengo la kudhibiti visumbufu mimea leo Mei 30, 2025 kwenye Kiwanja kidogo cha Ndege Jijini Dodoma. Waziri wa...